Monday, October 5, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Gwaride la heshima likipita mbele na kutoa heshima kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima wakati akikagua gwaride la heshima  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana na viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. John Haule kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Amos Makalla kwa  mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadick kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha IGP Ernest Mangu kwa  mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta  Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini Kitabu cha wageni akishuhudiwa na wenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta  Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta  Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ofisini kwa  mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika mazungumzo na ujumbe wa Tanzania katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katik mazungumzo ya tete-a-tete  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katik mazungumzo ya tete-a-tete  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika tete-a-tete  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika tete-a-tete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakifurahia jambo baada ya picha ya pamoja na viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kaburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua leo Jumatatu October 5, 2015  ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake nchini humo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima  katika kaburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua leo Jumatatu October 5, 2015  ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake nchini humo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua  katika kaburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua leo Jumatatu October 5, 2015  ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake nchini humo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima  katika kaburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua leo Jumatatu October 5, 2015  ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake nchini humo.
 KAburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga baada ya kuzuru kaburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua leo Jumatatu October 5, 2015  ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake nchini humo. PICHA NA IKULU

Wednesday, April 29, 2015

MABARAZA YA WAFANYAKAZI, TAASISI ZA ELIMU YA JUU WATAKIWA KUFANYA KAZI WA WELEDI

 Naibu Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba wakati akizindua Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) leo mjini Bagamoyo.
Wajumbe wa Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakiimba wimbo wa mshikamano daima kabla ya kuanza kwa mkutano wao leo mjini Bagamoyo.
 Wajumbe na viongozi wa Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba (katikati) mara baada ya kuzinduliwa kwa baraza hilo leo mjini Bagamoyo. Picha na Aron Msigwa/MAELEZO.
**********************************
Na. Aron Msigwa –MAELEZO.
SERIKALI imeyata Mabaraza ya wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya juu kote nchini kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia weledi, kanuni na sheria zinazosimamia  mabaraza hayo ili yawe chachu katika kuleta maendeleo ya Elimu  na mabadiliko ya kiuchumi ya taasisi hizo.
Kauli hiyo imetolewa  na Naibu Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba wakati akizindua Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) lililojumuisha wawakilishi kutoka matawi 6 ya taasisi hiyo  katika mikoa ya Kigoma, Singida, Mwanza , Mtwara, Dar es salaam na Mbeya.
Mhe. Mwigulu amesema kuwa iwapo mabaraza hayo yatazingatia weledi katika kusimamia masuala mbalimbali ya taasisi hizo nchini  yataleta mabadiliko ya kiutendaji katika usimamizi wa mapato na matumizi  na kutoa  ushauri utakaoisaidia Serikali kutekeleza mipango mbalimbali ya  maendeleo.
Mhe. Mwigulu ameeleza  kuwa endapo mabaraza hayo yataacha kufanya kazi kwa mazoea na kujikita katika kuzingatia kanuni na taratibu zilizowekwa, taasisi hizo zitaongeza uzalishaji, zitakuza mapato na kutatua kero mbalimbali za wafanyakazi mahali pa kazi.
“ Napenda niweke wazi kuwa mabaraza haya  ni muhimu sana kwa wafanyakazi, hayana tofauti na bunge ,kazi yake  kubwa ni kusimamia mapato na matumizi, kushauri taasisi na Serikali juu ya utekelezaji wa  mipango mbalimbali ikiwemo ajira kwa watumishi wapya” Amesisitiza.
Akizungumzia changamato ya uhaba wa walimu na watumishi wa kada mbalimbali  katika taasisi hiyo na taasisi nyingine za Umma za Elimu ya juu amesema Serikali inaendelea  kutenga fedha katika bajeti ya kila mwaka ili kuondoa tatizo hilo.
Aidha, amesema Serikali inaendelea kulishughulikia suala la usimamizi wa ziada ya mapato yanayozalishwa na taasisi za umma ili yaweze kupelekwa  katika maeneo mengine yenye uhitaji.
“Serikali tunaendelea kuangalia utaratibu wa kutumia ziada ya mapato inayozalishwa na taasisi mbalimbali za umma ili iweze kupelekwa katika maeneo mengine yenye uhitaji maana fedha hizi ni za umma,taasisi moja ya Serikali haiwezi kung’ania ziada ya mapato iliyozalisha, hizo ni fedha za umma lazima zikafanye kazi maeneo mengine yenye uhitaji hasa kwenye kugharamia mahitaji ya wodi za akina mama kote nchini”
Pia amesisitiza mkakati wa Serikali wa kuzifanya taasisi hizo za elimu ya juu kuwa na mamlaka yake katika kuajili watumishi wake na kjitegemea.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye ndiye Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania Dkt. Joseph Kihanda  akizungumza na wajumbe wa baraza hilo amesema kuwa taasisi hiyo katika kipindi cha miaka 5 imepata mafanikio makubwa ya kuongeza  ukusanyaji wa mapato kutoka shilingi Bilioni 6 za mwaka 2010 hadi kufikia shilingi Bilioni 18 mwaka 2014/2015.
Amesema Taasisi hiyo licha ya kukabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya uhaba wa miundombinu, ufinyu wa bajeti , uhaba wa walimu wenye shahada za uzamivu (PhD)  na watumishi kimeendelea kupata idadi kubwa ya wanafunzi wanaodahiliwa kutoka  7635 waliodahiliwa mwaka 2011/2012 hadi kufikia 14974 mwaka 2014/2015.
“Licha ya kuendelea kufanya vizuri taasisi yetu inakabiliwa na tatizo la waalimu katika matawi yetu yaliyo mikoani ,jambo hili hutufanya tutumie gharama kubwa kuwasafirisha kutoka makao makuu kwenda kufundisha wanafunzi wetu wanaochukua michepuo ya Biashara, Uhasibu, Rasilimali Watu, Ununuzi na Ugavi,Uhasibu katika Sekta ya Umma na Masoko na Mahusiano kwenye matawi yetu” Amesisitiza.  

Naye Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya wizara ya Fedha wa Taasisi hiyo Prof. Isaya Jairo akizungumza na wajumbe waliohudhuria mkutano huo amesema kuwa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)katika kukuza na kuongeza mapato ya ndani na kupunguza utegemezi kutoka serikalini itaendelea kufanya shughuli kibiashara ,kufanya utafiti, kutoa ushauri katika Nyanja za uhasibu, ununuzi na ugavi kote nchini.

WIKI YA ELIMU, NA UZINDUZI WA TUZO YA TAALUMA YA MKUU WA MKOA IRINGA

Kauli Mbiu: NJOMBE Na 1 INAWEZEKANA.
‘’Elimu Bora ni Haki ya kila Mtoto kwa Maendeleo ya Taifa. Njombe Kuwa Na.  1. Inawezekana.’’ Hiyo ilikuwa ni Kauli Mbiu iliyopamba Kilele cha maadhimisho ya wiki ya Elimu Kimkoa katika Mkoa wa Njombe siku ya tarehe 27/04/2015; Maadhimisho hayo yaliambatana na Uzinduzi wa Tuzo ya Taaluma ya Mkuu wa Mkoa, ambapo Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi alikuwa Mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Turbo ndani ya Halmashauri ya Mji Njombe.
‘’Tuzo hiyo ina  dhamira ya kuufanya Mkoa wa Njombe kuongoza Kitaaluma kwani haki tunayo,uwezo tunao na wajibu tunao’’ Alisema Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi.
Tuzo hizo ziliambatana na ugawaji wa zawadi mbalimbali kwa Shule zenye ufaulu wa juu,Shule zilizoongeza ufaulu,Wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani ya Sekondari na Waalimu wenye ufaulu wa juu kwenye masomo wanayofundisha.
Dkt Nchimbi pia amewakaribisha wadau mbalimbali wa Elimu,Makampuni na Taasisi Mbalimbali  kujitokeza katika kuzienzi na kutoa Tuzo hizo huku zikibeba majina ya Taasisi zao.
Maadhimisho hayo pia yalipambwa na shughuli mbalimbali ikiwemo kutembelea mabanda ya shule  nakuona shughuli zinazofanywa na wanafunzi na ugawaji wa zawadi kwa waendesha pikipiki bora kwa Mkoa wa Njombe.

Imetolewa na Afisa Habari
H/Mji Njombe.
Picha ya pamoja.

Friday, April 17, 2015

BAADA YA AJALI YA JANA MTO WAMI, LEO NI HUKO KIWILA MKOANI MBEYA, HICE YAUA WATU KADHAA

Habari zilizotufikia Mtandao huu hivi punde zinasema kuwa ajali nyingine mbaya imetokea huko Kiwila maeneo ya Uwanja wa Ndege Wilaya ya Rungwe, Mkoani Mbeya, baada ya Hice iliyokuwa imebeba abiria kutumbukia mtoni na kudaiwa kuuwa watu ambao idadi yake amili kbado haijapatikana.

Aidha imeelezwa kuwa katika ajali hiyo mpaka sasa ni watu wawili akiwemo Kondakta wa Hice hiyo waliookolewa huku ikielezwa kuwa hadi sasa tayari jumla ya miili 22, imeshaopolewa kutoka kwenye Mto huo. 

Chanzo cha ajali hiyo bado hakijaweza kufahamika, lakini pia ikielezwa kuwa Hice za jijini Mbeya leo zilianza kutoa huduma ya usafiri baada ya Daladala nyingi aina ya Coaster kugoma kutoa huduma hiyo leo.
Hice hiyo inavyoonekana ikiwa mtoni baada ya kuanguka huku raia wakiishangaa.
Eneo la ajali hiyo katika daraja hili ambapo iliacha njia na kutumbukia 
Wananchi waliofika kutoa msaada wakiopoa miili na kuihifadhi eneo hili.
Mpaka sasa Miili iliyokwishaopolewa ni 22.
Gari la Polisi likiwa eneo la tukio kubeba miili. Picha kwa Hisani ya Mdau aliyeko Mbeya